2 Kor. 13:1 SUV

1 Hii ndiyo mara ya tatu ya mimi kuja kwenu. Kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu kila neno litathibitishwa.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 13

Mtazamo 2 Kor. 13:1 katika mazingira