2 Kor. 13:2 SUV

2 Nimetangulia kuwaambia; na, kama vile nilipokuwapo mara ya pili, vivyo hivyo sasa nisipokuwapo, nawaambia wazi wao waliotenda dhambi tangu hapo, na wengine wote, ya kwamba, nikija, sitahurumia;

Kusoma sura kamili 2 Kor. 13

Mtazamo 2 Kor. 13:2 katika mazingira