2 Kor. 5:10 SUV

10 Kwa maana imetupasa sisi sote kudhihirishwa mbele ya kiti cha hukumu cha Kristo, ili kila mtu apokee ijara ya mambo aliyotenda kwa mwili, kadiri alivyotenda, kwamba ni mema au mabaya.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 5

Mtazamo 2 Kor. 5:10 katika mazingira