2 Kor. 5:11 SUV

11 Basi tukiijua hofu ya Bwana, twawavuta wanadamu; lakini tumedhihirishwa mbele za Mungu. Nami natumaini ya kuwa tumedhihirishwa katika dhamiri zenu pia.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 5

Mtazamo 2 Kor. 5:11 katika mazingira