2 Kor. 5:12 SUV

12 Maana hatujisifu wenyewe mbele yenu tena, bali tunawapa sababu ya kujisifu kwa ajili yetu, ili mpate kuwa nayo mbele yao wanaojisifu kwa mambo ya nje tu, wala si kwa mambo ya moyoni.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 5

Mtazamo 2 Kor. 5:12 katika mazingira