2 Kor. 7:10 SUV

10 Maana huzuni iliyo kwa jinsi ya Mungu hufanya toba liletalo wokovu lisilo na majuto; bali huzuni ya dunia hufanya mauti.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 7

Mtazamo 2 Kor. 7:10 katika mazingira