2 Kor. 7:14 SUV

14 Kwa maana, ikiwa nimejisifu mbele yake katika neno lo lote kwa ajili yenu, sikutahayarishwa; bali, kama tulivyowaambia mambo yote kwa kweli, vivyo hivyo na kujisifu kwetu kwa Tito kulikuwa kweli.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 7

Mtazamo 2 Kor. 7:14 katika mazingira