2 Kor. 7:15 SUV

15 Na mapenzi yake kwenu yamekuwa mengi kupita kiasi, akumbukapo kutii kwenu ninyi nyote, jinsi mlivyomkaribisha kwa hofu na kutetemeka.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 7

Mtazamo 2 Kor. 7:15 katika mazingira