2 Kor. 8:22 SUV

22 Nasi pamoja nao tumemtuma ndugu yetu tuliyemwona mara nyingi katika mambo mengi kuwa ana bidii, na sasa ana bidii zaidi sana kwa sababu ya tumaini kuu alilo nalo kwenu.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 8

Mtazamo 2 Kor. 8:22 katika mazingira