2 Kor. 8:23 SUV

23 Basi mtu akitaka habari za Tito, yeye ni mshirika wangu, na mtenda kazi pamoja nami kwa ajili yenu; tena akitaka habari za ndugu zetu, wao ni mitume wa makanisa, na utukufu wa Kristo.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 8

Mtazamo 2 Kor. 8:23 katika mazingira