2 Kor. 9:12 SUV

12 Maana utumishi wa huduma hii hauwatimizii watakatifu riziki walizopungukiwa tu, bali huzidi sana kuwa na faida kwa shukrani nyingi apewazo Mungu;

Kusoma sura kamili 2 Kor. 9

Mtazamo 2 Kor. 9:12 katika mazingira