2 Kor. 9:13 SUV

13 kwa kuwa mkijaribiwa kwa utumishi huo, wanamtukuza Mungu kwa ajili ya utii wenu katika kuikiri Injili ya Kristo, na kwa ajili ya ukarimu wenu mliowashirikisha wao na watu wote.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 9

Mtazamo 2 Kor. 9:13 katika mazingira