2 Kor. 9:14 SUV

14 Nao wenyewe, wakiomba dua kwa ajili yenu, wawaonea shauku kwa sababu ya neema ya Mungu iliyozidi sana ndani yenu.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 9

Mtazamo 2 Kor. 9:14 katika mazingira