2 Kor. 9:7 SUV

7 Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa huzuni, wala si kwa lazima; maana Mungu humpenda yeye atoaye kwa moyo wa ukunjufu.

Kusoma sura kamili 2 Kor. 9

Mtazamo 2 Kor. 9:7 katika mazingira