2 Kor. 9:8 SUV

8 Na Mungu aweza kuwajaza kila neema kwa wingi, ili ninyi, mkiwa na riziki za kila namna siku zote, mpate kuzidi sana katika kila tendo jema;

Kusoma sura kamili 2 Kor. 9

Mtazamo 2 Kor. 9:8 katika mazingira