2 Pet. 1:16 SUV

16 Maana hatukufuata hadithi zilizotungwa kwa werevu, tulipowajulisha ninyi nguvu zake Bwana wetu Yesu Kristo na kuja kwake; bali tulikuwa tumeuona wenyewe ukuu wake.

Kusoma sura kamili 2 Pet. 1

Mtazamo 2 Pet. 1:16 katika mazingira