2 Pet. 1:17 SUV

17 Maana alipata kwa Mungu Baba heshima na utukufu, hapo alipoletewa sauti iliyotoka katika utukufu mkuu, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, ninayependezwa naye.

Kusoma sura kamili 2 Pet. 1

Mtazamo 2 Pet. 1:17 katika mazingira