2 Pet. 1:21 SUV

21 Maana unabii haukuletwa po pote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.

Kusoma sura kamili 2 Pet. 1

Mtazamo 2 Pet. 1:21 katika mazingira