2 Pet. 2:1 SUV

1 Lakini kuliondokea manabii wa uongo katika wale watu, kama vile kwenu kutakavyokuwako waalimu wa uongo, watakaoingiza kwa werevu uzushi wa kupoteza, wakimkana hata Bwana aliyewanunua, wakijiletea uharibifu usiokawia.

Kusoma sura kamili 2 Pet. 2

Mtazamo 2 Pet. 2:1 katika mazingira