2 The. 1:3 SUV

3 Ndugu, imetupasa kumshukuru Mungu sikuzote kwa ajili yenu, kama ilivyo wajibu, kwa kuwa imani yenu inazidi sana, na upendo wa kila mtu kwenu kwa mwenzake umekuwa mwingi.

Kusoma sura kamili 2 The. 1

Mtazamo 2 The. 1:3 katika mazingira