2 Tim. 1:8 SUV

8 Basi usiuonee haya ushuhuda wa Bwana wetu, wala usinionee haya mimi mfungwa wake, bali uvumilie mabaya pamoja nami kwa ajili ya Injili, kwa kadiri ya nguvu ya Mungu;

Kusoma sura kamili 2 Tim. 1

Mtazamo 2 Tim. 1:8 katika mazingira