2 Tim. 1:9 SUV

9 ambaye alituokoa akatuita kwa mwito mtakatifu, si kwa kadiri ya matendo yetu sisi, bali kwa kadiri ya makusudi yake yeye na neema yake. Neema hiyo tulipewa katika Kristo Yesu tangu milele,

Kusoma sura kamili 2 Tim. 1

Mtazamo 2 Tim. 1:9 katika mazingira