Ebr. 10:1 SUV

1 Basi torati, kwa kuwa ni kivuli cha mema yatakayokuwa, wala si sura yenyewe ya mambo hayo, kwa dhabihu zile zile wanazozitoa kila mwaka daima, haiwezi wakati wo wote kuwakamilisha wakaribiao.

Kusoma sura kamili Ebr. 10

Mtazamo Ebr. 10:1 katika mazingira