Ebr. 10:34 SUV

34 Maana mliwaonea huruma wale waliokuwa katika vifungo, tena mkakubali kwa furaha kunyang’anywa mali zenu, mkijua kwamba nafsini mwenu mna mali iliyo njema zaidi, idumuyo.

Kusoma sura kamili Ebr. 10

Mtazamo Ebr. 10:34 katika mazingira