Ebr. 11:3 SUV

3 Kwa imani twafahamu ya kuwa ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu, hata vitu vinavyoonekana havikufanywa kwa vitu vilivyo dhahiri.

Kusoma sura kamili Ebr. 11

Mtazamo Ebr. 11:3 katika mazingira