Ebr. 11:5 SUV

5 Kwa imani Henoko alihamishwa, asije akaona mauti, wala hakuonekana, kwa sababu Mungu alimhamisha; maana kabla ya kuhamishwa alikuwa ameshuhudiwa kwamba amempendeza Mungu.

Kusoma sura kamili Ebr. 11

Mtazamo Ebr. 11:5 katika mazingira