Ebr. 12:25 SUV

25 Angalieni msimkatae yeye anenaye. Maana ikiwa hawakuokoka wale waliomkataa yeye aliyewaonya juu ya nchi, zaidi sana hatutaokoka sisi tukijiepusha na yeye atuonyaye kutoka mbinguni;

Kusoma sura kamili Ebr. 12

Mtazamo Ebr. 12:25 katika mazingira