Ebr. 12:3 SUV

3 Maana mtafakarini sana yeye aliyeyastahimili mapingamizi makuu namna hii ya watendao dhambi juu ya nafsi zao, msije mkachoka, mkizimia mioyoni mwenu.

Kusoma sura kamili Ebr. 12

Mtazamo Ebr. 12:3 katika mazingira