Ebr. 2:10 SUV

10 Kwa kuwa ilimpasa yeye, ambaye kwa ajili yake na kwa njia yake vitu vyote vimekuwapo, akileta wana wengi waufikilie utukufu, kumkamilisha kiongozi mkuu wa wokovu wao kwa njia ya mateso.

Kusoma sura kamili Ebr. 2

Mtazamo Ebr. 2:10 katika mazingira