Ebr. 2:17 SUV

17 Hivyo ilimpasa kufananishwa na ndugu zake katika mambo yote, apate kuwa kuhani mkuu mwenye rehema, mwaminifu katika mambo ya Mungu, ili afanye suluhu kwa dhambi za watu wake.

Kusoma sura kamili Ebr. 2

Mtazamo Ebr. 2:17 katika mazingira