Ebr. 2:3 SUV

3 sisi je! Tutapataje kupona, tusipojali wokovu mkuu namna hii? Ambao kwanza ulinenwa na Bwana, kisha ukathibitika kwetu na wale waliosikia;

Kusoma sura kamili Ebr. 2

Mtazamo Ebr. 2:3 katika mazingira