Ebr. 3:13 SUV

13 Lakini mwonyane kila siku, maadamu iitwapo leo; ili mmoja wenu asifanywe mgumu kwa udanganyifu wa dhambi.

Kusoma sura kamili Ebr. 3

Mtazamo Ebr. 3:13 katika mazingira