Ebr. 6:13 SUV

13 Kwa maana Mungu, alipompa Ibrahimu ahadi, kwa sababu alikuwa hana mkubwa kuliko yeye mwenyewe wa kumwapa, aliapa kwa nafsi yake,

Kusoma sura kamili Ebr. 6

Mtazamo Ebr. 6:13 katika mazingira