16 Maana wanadamu huapa kwa yeye aliye mkuu kuliko wao; na kwao ukomo wa mashindano yote ya maneno ni kiapo, kwa kuyathibitisha.
Kusoma sura kamili Ebr. 6
Mtazamo Ebr. 6:16 katika mazingira