Ebr. 7:26 SUV

26 Maana ilitupasa sisi tuwe na kuhani mkuu wa namna hii aliye mtakatifu, asiyekuwa na uovu, asiyekuwa na waa lo lote, aliyetengwa na wakosaji, aliyekuwa juu kuliko mbingu;

Kusoma sura kamili Ebr. 7

Mtazamo Ebr. 7:26 katika mazingira