Ebr. 9:24 SUV

24 Kwa sababu Kristo hakuingia katika patakatifu palipofanyika kwa mikono, ndio mfano wa patakatifu halisi; bali aliingia mbinguni hasa, aonekane sasa usoni pa Mungu kwa ajili yetu;

Kusoma sura kamili Ebr. 9

Mtazamo Ebr. 9:24 katika mazingira