Ebr. 9:4 SUV

4 yenye chetezo cha dhahabu, na sanduku la agano lililofunikwa kwa dhahabu pande zote, mlimokuwa na kopo la dhahabu lenye ile mana, na ile fimbo ya Haruni iliyochipuka, na vile vibao vya agano;

Kusoma sura kamili Ebr. 9

Mtazamo Ebr. 9:4 katika mazingira