Lk. 11:2 SUV

2 Akawaambia, Msalipo, semeni, Baba [yetu uliye mbinguni], Jina lako litakaswe, Ufalme wako uje, [Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni.]

Kusoma sura kamili Lk. 11

Mtazamo Lk. 11:2 katika mazingira