Lk. 11:26 SUV

26 Hata afikapo, akaiona imefagiwa na kupambwa, ndipo huenda akachukua pepo wengine saba, walio waovu kuliko yeye mwenyewe, wakaingia na kukaa humo; na mtu yule hali yake ya mwisho huwa mbaya kuliko ya kwanza.

Kusoma sura kamili Lk. 11

Mtazamo Lk. 11:26 katika mazingira