Lk. 11:27 SUV

27 Ikawa alipokuwa akisema maneno hayo, mwanamke mmoja katika mkutano alipaza sauti yake, akamwambia, Heri tumbo lililokuzaa, na matiti uliyonyonya.

Kusoma sura kamili Lk. 11

Mtazamo Lk. 11:27 katika mazingira