Lk. 11:31 SUV

31 Malkia wa Kusini ataondoka siku ya hukumu pamoja na watu wa kizazi hiki, naye atawahukumu kuwa na hatia; kwa sababu yeye alikuja kutoka ncha za dunia aisikie hekima ya Sulemani; na hapa pana mkubwa kuliko Sulemani.

Kusoma sura kamili Lk. 11

Mtazamo Lk. 11:31 katika mazingira