Lk. 11:32 SUV

32 Watu wa Ninawi watasimama siku ya hukumu pamoja na kizazi hiki, nao watakihukumu kuwa na hatia; kwa sababu wao walitubu kwa mahubiri ya Yona, na hapa pana mkubwa kuliko Yona.

Kusoma sura kamili Lk. 11

Mtazamo Lk. 11:32 katika mazingira