Lk. 12:27 SUV

27 Yatafakarini maua jinsi yameavyo; hayatendi kazi wala hayasokoti; nami nawaambia ya kwamba hata Sulemani katika fahari yake yote hakuvikwa vizuri kama mojawapo la hayo.

Kusoma sura kamili Lk. 12

Mtazamo Lk. 12:27 katika mazingira