Lk. 12:28 SUV

28 Basi, ikiwa Mungu huvika hivi majani ya kondeni, yaliyopo leo na kesho hutupwa kalibuni, je! Hatawatendea ninyi zaidi, enyi wa imani haba?

Kusoma sura kamili Lk. 12

Mtazamo Lk. 12:28 katika mazingira