Lk. 13:14 SUV

14 Basi mkuu wa sinagogi alikasirika kwa sababu Yesu amemponya mtu siku ya sabato, akajibu, akawaambia mkutano, Kuna siku sita zifaazo kufanya kazi, basi njoni mponywe katika siku hizo, wala si katika siku ya sabato.

Kusoma sura kamili Lk. 13

Mtazamo Lk. 13:14 katika mazingira