Lk. 13:15 SUV

15 Lakini Bwana akajibu akasema, Enyi wanafiki, kila mmoja wenu, je! Hamfungui ng’ombe wake au punda wake siku ya sabato katika zizi, aende naye kumnywesha?

Kusoma sura kamili Lk. 13

Mtazamo Lk. 13:15 katika mazingira