Lk. 15:6 SUV

6 Na afikapo nyumbani kwake, huwaita rafiki zake na jirani zake, akawaambia, Furahini pamoja nami, kwa kuwa nimekwisha kumpata kondoo wangu aliyepotea.

Kusoma sura kamili Lk. 15

Mtazamo Lk. 15:6 katika mazingira