Lk. 15:7 SUV

7 Nawaambia, Vivyo hivyo kutakuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye, kuliko kwa ajili ya wenye haki tisini na kenda ambao hawana haja ya kutubu.

Kusoma sura kamili Lk. 15

Mtazamo Lk. 15:7 katika mazingira