Lk. 18:13 SUV

13 Lakini yule mtoza ushuru alisimama mbali, wala hakuthubutu hata kuinua macho yake mbinguni, bali alijipiga-piga kifua akisema, Ee Mungu, uniwie radhi mimi mwenye dhambi.

Kusoma sura kamili Lk. 18

Mtazamo Lk. 18:13 katika mazingira