Lk. 18:14 SUV

14 Nawaambia, huyu alishuka kwenda nyumbani kwake amehesabiwa haki kuliko yule; kwa maana kila ajikwezaye atadhiliwa, naye ajidhiliye atakwezwa.

Kusoma sura kamili Lk. 18

Mtazamo Lk. 18:14 katika mazingira